Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili toka tanga anazo dawa za nguvu za kiume na pia anazo dawa za kurefusha uume na kunenwpesha uume na anatibu UTI PID. Kutana na dr mitishamba hashimu kalyundu anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Wiki iliyopita tuliianza mada hii ya kujitibu nguvu za kiume ambapo tuliweza kufahamu mfumo wa uzazi wa mwanaume, tuendelee kujifunza somo hili.

Kuna viungo vya ndani, kiungo kkimoja inaitwa seminal vessel, seminal vessel ni kama tezi mbili ambazo kazi yake ni kuzalisha majimaji yanayokwenda kuungana na majimaji yanayozalishwa kwenye protest grand ambayo yanaitwa semen ambazo kazi yake ni kuzibeba mbegu za uzazi za mwanaume ambazo kitaalamu zinaitwa sperm.

Pia kuna kiungo kingine kinaitwa prostate grand, hii ni tezi ya prostate na watu wengine wanaiita tezi dume au tezi ya mwanaume. Tezi hii ipo karibu kabisa na kibofu cha mkojo, kwani nyuma ya tezi hii imeungana na kibofu cha mkojo, prostate grand kazi yake ni kuzalisha seminal fluid ambazo huungana na majimaji yanayozalishwa kwenye seminal vessel kwa ajili ya kutengeneza semen. Kuna kiungo kingine kinaitwa capas grand hizi ni kama mbegu mbili ambazo hukaa pamoja, nazo huzalisha majimaji mengine ambayo huwa yanaingia kwenye njia ya mkojo urethra na kazi yake huwa ni kuandaa mfereji wa mkojo kupitisha mbegu za mwanaume.

Hii ni kwa sababu mwanaume akipata haja ndogo huwa kuna mabaki ya mkojo kwenye njia ya mkojo urethra ambayo yana asili ya asidi acid na ndiyo maana zikawepo hizi capas grand ambazo hutengeneza majimaji ambayo yanaenda kusafisha ile asidi kwenye njia ya mkojo yenye asili ya alkaline ili kuweka hali ya usafirishaji mzuri wa mbegu za mwanaume.

Pia kuna kiungo kingine kinaitwa ejaculatory duct, ejaculatory duct ni sehemu ya mwisho kabisa baada ya kuungana na vas deferens inayotokea kwenye korodani na kuungana na mrija unaotoka kwenye kibofu cha mkojo kwenda kwenye prostate grand.

Mwanzo kwenye prostate grand kuna kiungo kinaitwa ejaculatory duct ambapo huwa panatoa msisimko wa mtu kuweza kutoa mbegu wakati wa tendo la ndoa, hizi zimetengenezwa kwenye prostate grand, zilizotengenezwa kwenye seminal vessel, mbegu zinazotengenezwa kwenye korodani na kuhifadhiwa kwenye epididymis zikaletwa na vas deferens kwenda pale kwenye prostate grand na kutolewa nje.

Madhara makubwa ni kushindwa kushiriki vizuri tendo la ndoa Kuwahi sana kufika kileleni Kushindwa kuinuka kabisa. Kuinuka kwa muda mfupi sana Kuinuka na kushiriki tendo lakini wakati wako kwenye tendo wanalegea na kushindwa kuendelea.

Kuathirika kisaikolojia. Ongezeko kubwa sana la usaliti ndani ya ndoa Kushindwa kusababisha ujauzito kwa sababu ya kushindwa kushiriki tendo vizuri. Navyo ni; Umri mkubwa kuanzia miaka 45 na kuendelea, uwezo hupungua taratibu. Kujichua kwa muda mrefu Kuugua kisukari Diabetes. Kuugua presha High Blood Preasure Utumiaji ulevi. Wengi hudhani utumiaji wa vinywaji vikali sana ni dawa lakini hivyo vinywaji vinakufanya uwe tegemezi addicted na bila ya hivyo basi unakua huwezi tendo.

Uvutaji sigara kwani sigara ina sumu ambazo si rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kwa matibabu zaidi wasiliana nasi kwa hizo namba hapo juu ili kutatua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kujenga familia zilizo bora kwa Watanzania. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook.

Dr kanyat 18 September at Unknown 19 January at Unknown 26 September at Mada Maarufu. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum.Sawa mkuu Nina swali kidogo hapa demu wangu tukifanya tendo landoa hwa anackia kujikuna sehemu zacri naomba ushauri. Haya ni mazoez ya kuongeza nguvu za kiume au vp Maana mm nimeyafanya haya kwa izo wiki tatu ila cha kushangaza sijaongezeka nguvu zozote za kiume Ila uume wangu umeongezeka kwa nchi Mbili 2inch Na imepakuka kwa unene wa 5Cm.

Anawaambia mfanye hvyo mkishafanya mnapatwa namatatzo afu anarudi tena anasema anauza dawa ili mmungishe. Kuna jambo linanishangaza sana, utakuta mwanaume anapata muda wa kukaa kitako muda wa dakika tisini au zaidi akiangalia mpira, au masaa manne, matano na wengine wanakesha kabisa katika baa wakinywa na kula tu, lakini wanasahau kabisa kutenga muda tena mdogo tu kama dakika tano mpaka nane kwa siku kwa ajili ya kuimarisha nguvu za kiume kwa kufanya mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume.

Mwanaume anefanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume hawezi kuwa sawa na mwanaume asiyefanya mazoezi haya sio tu katika kuimarisha nguvu zake za kiume lakini pia kuweza kujitawala katika tendo la ndoa na kuweza kumfikisha mwanamke katika raha ile inayotakiwa. Hizi ni miongoni mwa faida zinazopatikana kwa kufanya mazoezi haya ni hizi zifuatazo:. Vifaa Unavyohitaji. Mafuta ya mizeituni Olive Oil au mafuta ya nazi au Alizeti au mafuta ya mgando gel.

Kitambaa kisafi na laini na maji safi ya uvuguvugu. Namna ya kufanya mazoezi ya Kuongeza nguvu za kiume. Loweka kitambaa chako katika maji ya uvugu vugu kisha anza kwa kuusafisha uume wako kwa kitambaa laini cheye maji ya uvugu vugu kama unauchua uume kwa kuuvuta mbele.

jinsi ya kutibu uume legelege

Fanya zoezi hili kwa dakika tatu. Pakaa mafuta yako kwenye viganja vyako viwili vya mikono yako kama vile unataka kujipaka mafuta mwilini. Weka viganja vyako ili vipate mvuke wa moto kutoka katika ama jiko la mchina, stove au kitu chochote utakachotumia. Ukiona viganja vimepata joto kiasi cha kutosha siyo mpaka uungue mikono, kisha. Kamata uume wako ukiwa unauchua kwa kuuvuta mbele kwa nguvu kidogo sana ukianza na mkono wa kulia alafu wa kushoto au kushoto halafu kulia vile utakavyoona inafaa.

Mazoezi haya hufanywa mara mbili asubuhi tu mtu ukiamka na wakati ukitaka kwenda kulala na ni kwa muda wa wiki tatu.

Utaona matokeo yake. Labels: MapenziUzazi. Salim issa from shirazi 23 March at Unknown 14 May at Unknown 16 May at Unknown 17 June at Unknown 7 July at Unknown 13 July at Unknown 1 August at Unknown 23 August at Dr kanyat 19 October at Afya Yako.

Header Ads. Home Afya Yako Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa. Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa. Love PM. Natumaini mu wazima Wa afya tele mkiendelea na harakati za kulijenga Taifa letu kwa kasi kubwa!! Mungu akapate kubariki kazi ya mikono yako na Taifa letu. Fanya uume wako uwe na nguvu ya kurudiarudia tendo la ndoa Reviewed by Dr. Love on PM Rating: 5.

Tags : Afya Yako. Unknown October 14, at PM. Unknown February 22, at AM. Subscribe to: Post Comments Atom. Follow by Email. Contributors Bassa Dr. Love Native. Mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume. Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume. Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito Mazoezi ya kujenga misuli ya mwili bila kunyanyua vyuma vizito.Thursday, 30 July Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu.

Hatua mbili Muhimu katika Kusimama kwa Uume. Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :. Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari. Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.

Jinsi hatua za kusimama kwa uume zinavyotokea. Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka.

Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama. Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.

B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.

Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili.

jinsi ya kutibu uume legelege

Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume. Endapo mishipa ya vena itazibukabasi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja. Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume.

Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama. Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.

Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari. Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama. Mwanaume unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.

Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume.

Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama. Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili.

Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili.

Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume ulio simama. Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa. Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida inanyaukaikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida Flaccid. Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.

Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima. Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.Je kwass tulio dar tunavipataje vitabu maana tuna hitaji kunusulu ndoa zetu je na uwezekano wa kumpa mwanamke ujauzito utabaki palepale au.

Nimeipenda saana kazi yako doctor naahdi nami nitaifanyia kazi piaa nikimalza masomo tangy ya udactari nitaproof ukwel pia bt big up kwa step hiooo. Natural Health Natural Health. Juni 21, 9 comments. Unaweza kua umepata mshtuko kuona makala hii kwasababu niliwahi kuandika makala kupinga watu wanaodai wana dawa za kuongeza unene na urefu wa uume na kuongeza nguvu za kiume kwenye moja ya makala zangu zilizopita, lakini msimamo wangu bado ni ulele kwamba hakuna dawa wala uchawi wa kuongeza maumbile ya uume japokua kuna dawa zakuongeza nguvu za kiume kutoka viwandani na zinafanya kazi hizo za kienyeji siwezi kuziongelea kwani hawa watu hawakubali kushindwa hata dawa ya ukimwi watakwambia ipo….

Njia nyingine ambayo kwa sasa imefanyiwa utafiti duniani na madaktari bingwa wa mambo ya sehemu za siri yaani urologist na sexiologist ni ya kufanyisha mazoezi ligament hizo mpaka ziongezeke urefu na kuongezeka unene bila madhara hata kidogo. Unaweza kua umeshachanganywa na matangazo mengi ya kwenye mtandao ambayo hujitapa yanaweza kufanya hiyo kazi kwa vidonge au waganga wa ndani ya nchi ambao kila siku wanakula pesa nyingi sana kwa kazi hiyo ya kitapeli ambayo haina ushahidi.

Sasa kama na wewe umeshandanganyika sana tulia usome kwa makini ukweli ulipo na mzoezi yanvyofanya kazi. Unaweza kua ushawahi kuyafanya mazoezi haya lakini hukufanikiwa kwa sababu hukufuata utaratibu hatua kwa hatua kama kitabu kinavyoelekeza.

KUIMARISHA MISULI YA UUME/INAYOZUNGUKA UUME

Unaweza ukawa bado unaona ni kitu ambacho hakiwezekani. Misuli yote ya mwili wa binadamu ikifanyiwa mazoezi inabadilika ukubwa wake kitaalamu tunaita muscle hypertrophy…mazoezi haya hayahitaji vifaa vyovyote zaidi va viganja vyako. Ukibeba chuma kwa muda Fulani mwili utajaa sana lakini ukiacha mwili unaweza rudia hali yake ya zamani japokua mwili hautaisha kabisa kwani kama wewe ni mwana mazoezi ukimuona mtu aliyewahi kubeba vyuma zamani utamgundua tu kwani ile ramani ya misuli hua haipotei…lakini ukifanya mazoezi haya kuna mishipa midogo midogo sana ya damu itapasuka kuipisha mikubwa na mishipa hiyo mipya haitapotea milele yaani ukubwa utakaopata hautabadilika tena hata ukiacha.

Hapa ndipo sehemu kuu ya kuzingatia kuliko zote hautaziona hata kidogo. Nasema hivi kwasababu najua naongea na wanaume sasa hivi kwamba sisi wote ni mashahidi yaani ili ubebe vyuma mpaka kifua kionekane lazima moyo wa kwenga gym uwe nao na ninajua wengi wenu mlishaanza gym mkaenda wiki moja mkaacha ila wale wavumilivu ndio mabaunsa mpaka leo. Kiufupi hakuna njia ya uhakika na isyo na madhara kama hii, sio kwamba najisifia kwani hata usiponiamini imeshafanyiwa utafiti na ikakubalika kutumika duniani.

Hebu tuangalie historia, ushahidi na utafiti uliofanywa na madaktari wa kwanza kugundua njia hii. Mwaka daktari mmoja aliyekua bingwa ya mambo ya afya kujamiina yaani specialist in sexual health aliyekua ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake aliamua kufanya utafiti kuhakikisha mbinu hii iliyokua inaitwa chartham method kabla watu hawajaanza kuitumia.

Daktari huyu alichukua wanaume 32 na kuwafanyisha mazoezi haya kwa muda wa mwezi mitatu na alibaki mdomo wazi kwani utafiti huu ulikua na mafanikio ya asilimia Hiyo ilikua miezi mitatu huenda wangefika mezi sita wangekua zaidi ya hapo. Miaka michache iliyopita utafiti huu ulirudiwa na synexus and harisson clinical research ukiwahusisha wanaume 50 ambako wanaume wote hamsini nyeti zao ziliongezeka kwa urefu wa sentimita 4.

Mazoezi haya yalifanyika kwa dakika 22, siku tano kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu. Nilipomaliza chuo cha udaktari mwaka niliendelea kukutana na mabishano makali na madaktari wenzangu kuhusu hoja hii. Haikua kazi rahisi kwani ilibidi wafanye kazi hii kwa gharama zangu kwani ilibidi niwasimamie na wafanye kama navyotaka mimi.

Baada ya hapo ndipo nilipokaa chini na kuanza kuandaa kitabu hichi kwanzia mwezi wa saba mwaka jana na kukikamilisha mwezi wa tano mwaka huu. Kitabu hichi sio kirefu sana ila kilinitaka akili nyingi na kuandika vitu vyenye ushahidi wa kweli sio kukurupuka tu, kwani unapofanya kitu kinachohusiana na maisha ya binadamu hasa eneo hilo lazima uwe makini sana.

Ni kweli watu wanatofautiana sana kimaumbile yaani kuna wengine wanawahi sana kupata matokeo na wengine wanachelewa kidogo lakini mwisho wa siku hakuna anyeambulia patupu.

Misuli ya uume kulegea na kutosimama vizuri

Mazoezi haya yanatakiwa yafanyike mara nne mpaka tano kwa wiki sio chini ya miezi mitatu kwa kufuata kama nilivyoelekeza, wasomaji wengi hapa wanaona ni kawaida ila huenda wengi wenu mtaacha kabla ya muda huo. Kupata dakika 20 mpaka 30 za kujifungia sehemu peke yako bila kubugudhiwa inaweza kua ngumu sana labda ufanye usiku sana au asubuhi mapema kabla watu hawajaamka labda kama unaishi peke yako.

Kumbuka katika kila mwanaume aliyefanikiwa kuna wengine walikata tamaa na kuacha ndio maana nilitoa mfano wa kubeba chuma hapo mwanzoni kwani mimi pia ni mshiriki wa mazoezi hayo ya kubeba vyuma yaani lazima uwe na moyo wa chuma. Mazoezi haya yanawezekana kwani kuna ambao tayari wamefanikiwa kwa mazoezi haya ya kuongeza maumbile, unene wa uume na nguvu za kiume.

Tuma Hii kwa Barua pepe Blogu Hii!

JIFUNZE NAMNA UNAVYOWEZA KUTIBU TATIZO LA KIBAMIA HAPA

Shiriki kwenye Twitter Shiriki kwenye Facebook. Maoni 9 :. Unknown 26 Aprili Twalibu Libaba 16 Mei Unknown 19 Mei Unknown 19 Aprili Deejafelly 14 Aprili Unknown 9 Agosti Alaykum Shukran kwa somo sheikh. Ila ninaomba unapoandika majina ya dawa mafuta, mimea, nk uandike pia kwa lugha ya kiengereza, kwa sababu wengi hatuelewi majina unayotumia. Kwa mfano mimi sielewi mafuta ya Nyonyo ndio mafuta gani, na mafuta ya tembo unamanisha elephant?

Shukran Sheikh kwa masomo yako mazuri. Ningependa kujua mafuta ya tembo yanaitwaje kwa lugha nyingine manake sijawahi sikia mafuta hayo.

jinsi ya kutibu uume legelege

Pia kujibu swali la mhusika hapo juu mafuta ya nyonyo kwa lugha ya kigeni yanaitwa Castor Oil Shukran. Dawa za kukuza uume na kunenepesha uume. Mimi sijaoa. Assalamu alaykum sheikh kwa huku marekani hayo mafuta Nitayapata wapi. Asubiri hadi apate mwenza wake kisha huyo mweza wake alalamike kwamba haimtoshelezi. Ima kwa urefu ama wembaba ndio atafute dawa mjomba jax. Habari wadau,kwaaliye fanikiwa kwa kutumia dawa hii naomba unitafute Kutibu ugumba.

Kwa yeyote anayehitaji dawa hapo juu zinapatikana. UTI augu Kansa na cd4 za ukimwi. Popular Posts. Al-Fatiha [7] 2. Al-Baqara [] 3. Aal-e-Imran [] 4. An-Nisa [] 5.Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume — hii ni kulingana na utafiti uliofanyika.

Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.

Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali.

Tiba ya madhara ya upigaji punyeto.

Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri kuzingatia vyakula vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia " booster".

Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Mwili wako una maarifa ya kujirekebisha pasipo kuhitaji vilevi au mawada, unachotakiwa kuzingatia ni chakula bora tu. Wahenga walisema, utakuwa bora kama chakula unachokula. Je wewe unakula chakula bora ili kulinda heshima yako nyumbani?

Leo napenda tuangalie vyakula ambavyo vinasaidia kuboresha nguvu za kiume na kusaidia kwa kiasi kikubwa kudumisha mapenzi na kulinda mahusiano na ndoa. Blueberries ina virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini. Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume.

Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi fiber ambazo husaidia kuondoa kolesteroli Cholestrol mwilini kabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi. Soma pia : Njia 7 za kuongeza uzito. Mtini figs ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi, ambayo ni kiungo kikubwa katika kuzalisha homoni mwilini. Homoni ndio kishawishi cha nguvu za kiume mwilini.

Kukosa amino asidi huweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume. Chaza wana kiwango kikubwa cha madini ya zinc. Madini za zinc hutumika katika utengenezaji wa homoni ya testosterone, shahawa na mbegu za kiume.


Comments on Jinsi ya kutibu uume legelege

Replies to “Jinsi ya kutibu uume legelege”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *